Kwa Kauli hizi Siamini MO katekwa na Wazungu. Bila Picha Siamini.

  • 6 years ago
Kwa Kauli Kama Hizi Siamini MO ametekwa na Wazungu. Inawezekena Taarifa za Kuwa Katekwa na Wazungu Zinakusudia Kuondoa Mawazo Kuwa WASIOJULIKANA Wanahusika. Kila anayeongea Anasisitiza Wazungu! Why Somebody anajitahidi kuji-distance na hii issue bila shaka.

Recommended