• 7 years ago
#DIAMONDPLANTINUM #BIRTHDAYDIAMOND

LIVE: DIAMOND Akitoa Msaada kwa Watu wa Tandale Siku ya Kuzaliwa Kwake

STAA wa Bongo Fleva, Nasbu Abdul ‘Diamond Platinumz’ amewakumbuka wakazi wa Tandale kwa kutoa misaada ya pikipiki na bima za afya katika siku yake ya kuzaliwa.

Diamond ametoa msaada huo leo Ijumaa, Oct 5, 2018 ikiwa ni sehemu ya kuwakumbuka wakazi wa tandale ambako ndipo haswa alikozaliwa na kukulia, kuanza muziki kabla ya kuwa staa.

Imekuwa utamaduni wa msanii huyu mkubwa Tanzania na Afrika nzima kuwasaidia watu wenye kipato cha chini hasa kwenye sikukuu kwa kuwapa vyakula ili nao washerehekee vyema sikukuu hizo na familia zao.

Install GlobalPublishersApp Android: iOS: Subscribe FACEBOOK: ... TWITTER: Visit , Subscribe Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… WEBSITE: FACEBOOK: ...

Category

🗞
News

Recommended