Rais Kenyatta akutana tena na Mstaafu Moi kwake Kabarak

  • 6 years ago
Rais Uhuru Kenyatta hii Jumamosi amemtembelea tena mstaafu Daniel Arap Moi katika makao yake rasmi ya Kabarak ambapo mzee Moi alimpongeza rais kwa kuleta uwiano nchini.
Rais alielekea baadaye kwenye hafla ya mazishi ya mkewe aliyekuwa luteni jenerali Joseph Kasaon  ambapo alikutana na naibu wa rais kuomboleza.