Waziri atokwa machozi Kifo cha Mbunge wa CHADEMA

  • 6 years ago
Waziri wa mambo ya ndani nchini Mwigulu Nchemba amejikuta akitokwa na machozi wakati wa kumuaga Mbunge wa Jimbo la Buyungu, wilayani Kakonko Mkoani Kigoma (CHADEMA), Kasuku Samson Bilago aliefariki dunia Mei 26, 2017 mwaka huu