Duni amjibu Majaliwa kuhusu Muungano

  • 6 years ago
Waziri wa zamani kwenye serikali ya umoja wa kitaifa ya Zanzibar, Juma Duni Haji, anasema Muungano una matatizo makubwa lakini watu wa upande wa pili hawakubali kwa kuwa dhamira yao hasa si Muungano.