Alichosema Nondo Mara baada ya kupata Dhamana Leo

  • 6 years ago
Mwanafunzi aliyedaiwa kutekwa na watu wasiojulikana leo amepewa dhamana na Mahakama mkoani Iringa ambako kesi yake inasikilizwa.

Hii hapa kauli yake akifunguka mara baada a kupewa dhamani hiyo.

Recommended