• 10 yıl önce
Pata Clip fupi ya Maandamano yalioandaliwa na Jumuiya ya Wazanzibari waishio nchini Uingereza, kutaka Uingereza kuingilia kati na kuweka shindikizo kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuhakikisha mshindi wa uchaguzi wa Rais wa Zanzibar anatangazwa na kuapishwa, Mandamano yalifanyika Siku ya Alhamis Nov 19, 2015 Jijini London.

Önerilen